African Music Alice Kimanzi – Yule Yule

Alice Kimanzi – Yule Yule

September 11, 2024, 2:00 AM

Auto Draft

Audio Music Download Alice Kimanzi – Yule Yule MP3 by Alice Kimanzi

Get ready to be inspired! Download and Listen to this captivating new single, its inspiring lyrics, and the stunning official music video, titled Yule Yule by the gifted and spirit-filled Christian/Gospel songstress, , whose soul-stirring voice and heartfelt melodies minister hope, healing, and inspiration to countless lives, fulfilling her mission to bless and uplift many through her anointed music ministry.

  • Song Title: Mp3 Yule Yule FREE DOWNLOAD Yule Yule by Alice Kimanzi
  • Genre: Gospel
  • Released: 2019
  • Duration: 04:34

Play all day, stream all night – this mp3 audio single is free to download, immerse yourself in the magic of music every day, indulging in the rhythm that inspires, uplifts, and transforms your daily journey! Let us know what you think – your comments are welcome in the box below, and we look forward to hearing how this music moves you! Thanks!! . #GospelJingle

DOWNLOAD HERE

Alice Kimanzi Yule Yule Lyrics
Mungu ni yule yule
Nimesikia ukitajwa jina lako
Na kanisani waziimba sifa zako
Yasemekana wewe ni muweza yote
Hakuna jambo lolote likushindalo
Na shida zote (unatatua)
Magonjwa yote (wewe waponya)
Hata na wafu (wewe wafufua)
Nashangaa (aaah aaah) .

Wewe ni yule yule (yulele yule yule)
Wewe ni yule yule (yulele yule yule) .

Mungu wa Musa yule (yule)
Na wa Yakobo yule (yule)
Anayependa yule (yule)
Anayeponya yule (yule) .

Mungu wa Musa yule (yule)
Na wa Yakobo yule (yule)
Wamiujiza yule (yule)
Wamaajabu yule .

Wewe ni yule yule (yulele yule yule)
Baba wewe ni yule yule (yulele yule yule) .

Danieli asema kwamba ulifunga midomo ya simba
Wanaisraeli kala mkate toka mbinguni
Sarah naye Sarah akampata Isaka
Hakuna jambo lolote likushindalo
Na shida zote (unatatua)
Magonjwa yote (wewe waponya)
Hata na wafu (wewe wafufua)
Mimi Nashangaa (aaah aaah) .

Wewe ni yule yule (yulele yule yule)
Wewe ni yule yule (yulele yule yule) .

Mungu wa Musa yule (yule)
Na wa Yakobo yule (yule)
Anayependa yule (yule)
Anayeponya yule (yule) .

Mungu wa Musa yule (yule)
Na wa Yakobo yule (yule)
Mwenye baraka yule (yule)
Anayeponya yule (yule) .

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here