NEW 2024 LATEST GOSPEL MUSIC ALERT; Essence of Worship Umejawa Utukufu MUSIC by Essence of Worship ft. Eliya Mwantondo Download this amazing brand new single + the Lyrics of the song and the official music-video titled Umejawa Utukufu by a Highly respected Gospel singer, anointed and authentic Christian music minister Essence of Worship
Enjoy yourself with this incredible mp3 song – free to download or stream, immerse yourself in the magic of music every day, indulging in the rhythm that inspires, uplifts, and transforms your daily journey! Let us know what you think – your comments are welcome in the box below, and we look forward to hearing how this music moves you! Thanks!! . #GospelJingle
Essence of Worship Umejawa Utukufu Lyrics
Ufunuo wa Yohana 5:12-14
12 Kwa sauti kuu malaika walisema:
“Mamlaka yote, utajiri, hekima na nguvu ni kwa Mwanakondoo aliyeuawa.
Anastahili kupokea heshima, utukufu na sifa!”
13 Ndipo nikasikia kila kiumbe kilichoumbwa kilichoko mbinguni na duniani na chini ya dunia na baharini, viumbe vyote sehemu hizo vikisema:
“Sifa zote na heshima
na utukufu na nguvu kuu ni kwajili yake Yeye aketiye
kwenye kiti cha enzi na kwa Mwanakondoo milele na milele!”
14 Viumbe wenye uhai wanne wakasema, “Amina!” Na wazee wakainama chini wakasujudu
We needed lyrics not songs ….not helpful at all 😤
where are the LYRICS